ocr: Kuchagua somo. Taaza rangi zinakuonyesha mara ngapi ushajaribu, Nambar1 nyekundu inakuonyesha idadi ya uliyoshinda. Kama umeshinda kwa kiasi unaweza kujipirintia zawadi. Bonyeza kifungo chekundu na subiri uone. Bonyeza kifungo cha kijani kucheza mchezo wa kuhifadhi kwa moyo. Tumia kidude cha kuongezea - au kupunguzia sauti, na kifungo cha bendera kubadilisha lugha ya kukusaidia.